Sina Dosari (4 X 6) : Jinsi Ya Kupata Matumanini Na Uponyaji Baada Ya Kudhalilishwa Kimapenzi
Ndani ya Sina Dosari, Mwandishi Mary DeMuth anathihirisha njia ya kutoka kwenye maisha yaliyojaa aibu kwenda kwenya maisha yenye furaha tele, kutoka kwenye hofu na amashaka kwenda kwenye maisha ya amani.